Ile kweli imekaa kichangamsha genge
Nilicheka nilitaka kuzimia
Comment sasa ndo kabisaa
Sijui ulicopy wapi ile stori.
Kumbe mko serious
Nilijua mnaact
Mungu awasimamie[emoji3589]
Unapenda hadi mifugo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cake ya kupika mwenyewe kuila hainogi
Raha ya cake apike mwingine.
Naona jamaa hataniiYote kuanzia ngβombe, mbuzi, kuku mpk bata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kusahau majirani na vichaa wote wa mtaani kwao
Naona jamaa hatanii
Nimepokea muamala kweli
Haya shost,niambie lini unakitaka keki
Naomba nikuandalie weekend.
Kweli jamaa mzunguππHuyo mzungu hatanii nitaku piem wala usijali [emoji7][emoji7][emoji7]
Uje nikupige power bwa mdogo . huyo roho taka fujo haitokufata tena π πMimi napenda kufurahi afu usichokijua mimi ni mcha Mungu. Sema kuna muda roho mtaka fujo ananivaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu kukosa Kantri kuna kituko kingine nilitaka kukileta mvunje mbavu
Uje nikupige power bwa mdogo . huyo roho taka fujo haitokufata tena [emoji28][emoji28]
kesho njoo basi home kwenye jumuiya π πAkhu! Sitaki itoke,Inakuja nikichokozwa tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
kesho njoo basi home kwenye jumuiya [emoji28][emoji28]
ππππ wewe uniblock mimi?Haya leta mafile yote uniwekee hadharani na picha zote na kila kitu unachojua ila.kama niuongo block itakuhusu soon
mie unanijua banaa.. ukiniona utanikumbukaSiendagi nyumba za watu nisiowajua [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe uniblock mimi?
Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?
Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo [emoji23][emoji23]
mie unanijua banaa.. ukiniona utanikumbuka
hata mie ni wa huko nanjilinjili ukisha ingia home ndio utajua kuwa tunajuanaMimi wa nanjilinji watu wa daslam siwajui [emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka ajibu[emoji15][emoji15][emoji15]
ni mwendo wa kulipuana tuuu π π πππππ wewe uniblock mimi?
Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?
Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimiπππ
Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda ππππ
Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo ππ
hata mie ni wa huko nanjilinjili ukisha ingia home ndio utajua kuwa tunajuana
Nataka ajibu
leo unanikana eehMimi na wewe hatujuani bana, mchukue Mwachi mkasali wote jumuiya
jf imekuwa ya kishenzi kupita maelezo.. mie huko nimeambiwa nachezea watoto wa kike na kuwatelekeza ukiwaukiza nimalala nani hawajibu π π π π pa hovyo sana humuMbona mnatuchanganya humu jamani hatuelewi?? Kwani id yako ya mwanzo ipi best