Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Tutaongea.Daaah 😊😊 Umenikumbusha mbali sana.
Malipo yanakuwaje?? au tutaongea siku ikiwadia. 😊
Waweza lipa kwa simu ama ukamuagiza mtu atakayeipokea
Tutaongea.Daaah 😊😊 Umenikumbusha mbali sana.
Malipo yanakuwaje?? au tutaongea siku ikiwadia. 😊
Unaipokea wapi??Waweza lipa kwa simu ama ukamuagiza mtu atakayeipokea
Thanks, sema shida Yuko mbali🤒Karibu sana
1/2 kg 25,000
750g 30,000
1kg 35,000
Na kuendelea
Wapi huko?Thanks, sema shida Yuko mbali🤒
Kulingana na location yako ilipoUnaipokea wapi??
Ok kwaiyo nitaletewa sio??Kulingana na location yako ilipo
NdiyoOk kwaiyo nitaletewa sio??
Mimi sifuati
Nyie mpo wapi?
Kana Soma boarding kahamaWapi huko?
Huko mbaliKana Soma boarding kahama
Ndicho nilicho waza, nami sipendagi ma vitu matamu😃🤒.
Ok sawa. Tutajuzana
With time nitafanyaSema Saint Anne nili kuuliza kwanini hau produce maandazi na skonzi??
Shkamoo Tajiri wa rohoAmkeni tuselfike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ckuwa na naulii uduguuuu.Hujaenda namtumbo kwenye nanenane?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]