Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Yaani ki Mwachiluwi kimeniandama mie mke wa hili jamaa Intelligent businessman umeona eh sipendi naongelewa vibaya
Yaani ki Mwachiluwi kimeniandama mie mke wa hili jamaa Intelligent businessman umeona eh sipendi naongelewa vibaya
Ongea fanya fasta kabla sijaita jeshi Lovelovie njoo nateswa na hili lijamaaNiko single Mwaka wa 20 huu, beside uzinzi ni Jambo la kupuuza.
👉Hupoteza muda
👉Pesa,
👉 Malengo
👉 Heshima- mfano mzee wa miaka 70 akifumaniwa na binti wa 20
Na leo utasema kweli yote kama unanitaka sema
umesema mie rafiki yako haya ongeaBinti Maua Unique Flower amani itawale, Mwachiluwi ni Jamaa so peace😃😃🤒
Kwani una nipenda???, Ms eyes ana jua mi nampenda nani🤒🤒Na leo utasema kweli yote kama unanitaka sema
Binti Maua nime kukosea nini 🤔🤒Ongea fanya fasta kabla sijaita jeshi Lovelovie njoo nateswa na hili lijamaa
Nazipenda zoteMore love less ego🤒🤒, Ms eyes, National Anthem, Dr Lizzy Lenie Unique Flower mtu chake Darlin mshamba_hachekwi, Depal, Aaliyyah, Mwachiluwi, Jack Palladino
View attachment 2712185
Kwamba mm kijitu kidogoWacha umemwambiaje hicho ki Mwachiluwi
Eh nani amekuambia umetahiriwa hata bado unagoviKwamba mm kijitu kidogo
Niambie unanitaka??Binti Maua nime kukosea nini 🤔🤒
Njoo ukuleYaani ki Mwachiluwi kimeniandama mie mke wa hili jamaa Intelligent businessman umeona eh sipendi naongelewa vibaya
Nimeshiba sana napasuka mno yaaniNjoo ukule
Ahahahah lakini siulilipenda ivyo ivyoEh nani amekuambia umetahiriwa hata bado unagovi
Aku sijawahi kukuona wala sitakiAhahahah lakini siulilipenda ivyo ivyo
Binti Maua Unique Flower nini hiki leo😃😂, au umelewa ndo una amua kusema hisia zako😃😂 mshamba_hachekwi, Ms eyesNiambie unanitaka??
Ongea au nibadilikeBinti Maua Unique Flower nini hiki leo😃😂, au umelewa ndo una amua kusema hisia zako😃😂 mshamba_hachekwi, Ms eyes
Ahahahaha mimi huyu hapaAku sijawahi kukuona wala sitaki
Lenie ona Binti Maua ana nitaka kwa lazima😃😂Ongea au nibadilike
Nice Ume Jitahidi, though huni shindi🤒😂Wakulima wenzangu mje tujipongezeView attachment 2712219View attachment 2712220