Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahahahahh mashemeji waapewe maua yao sana alikuwa ananiita ofisin kwake anawatambulisha huyu kijana wangu kuna siku nilifika ofisn nikamkuta secretary mpya akaniuliza huyu nan yako nika wambia shemeji yangu alishangaa ety anawezaje kuwa na shemeji kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona aibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaolewa na mzee sana??
 
Sema na umakonde umembeba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko shemejio alifiwa na mkewe??
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana 🤣
 
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana [emoji1787]

Duh!! Huyo dada ako alimpendea pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom