Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hata simfatilii kachat na nani? Kazi yangu afurahie uzee wake, si unajua mtu akizeeka anarudi utoto, mimi sina wivu wa kishamba na ulcers sipatiii ng’o [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kabla sijasahau naomba huo umbeya wa maex wake wenza [emoji2222]
Mimi siwajui maex wake muulize mwenyewe Jack Palladino anawaficha kama utombo
 
Ahahhaha af mimi niataenda kukutambulisha bi mkubwa hana shida kabisa [emoji23]

Ataenda kunitambulisha mwenyewe shem ako, wewe huchelewi kupanga mbwinu na bi mkubwa mnimwagie tindikali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ataenda kunitambulisha mwenyewe shem ako, wewe huchelewi kupanga mbwinu na bi mkubwa mnimwagie tindikali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahah bimkunwa akiweka dau kubwa tu mimi nakuuza kabisa si unajua mimi napesa damu damu 😂😂😂
 
Ahahahah bimkunwa akiweka dau kubwa tu mimi nakuuza kabisa si unajua mimi napesa damu damu [emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie wote hamniwez hata muungane na ex’s wake wote nawavuruga mchana kweupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie wote hamniwez hata muungane na ex’s wake wote nawavuruga mchana kweupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ex zake ni waswahili wa mazense jipnge unaanzisha ugomvi na unakaaa nyumba ya vioo
 
Mimi niko Sumbawanga kwa yule mbunge aliyepewa maji machafu anywe, huko yupo na yule member aliyemfanya kalala na viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅 umeona mie uninyime tunda, ukampe mmbunge huna maana kabisa
 
Mxxiewwww mimi na wanaume choka mbaya tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nataka matajiri hata akikufumania haji kukuletea uzi wa masikitiko ndio kwanza anakupiga na vibunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahahahah kwahiyo unataka nikikufumania nikupe pesa ya pongezei?
 
Back
Top Bottom