Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha uchawi ufike mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nisipompenda tajiri Jack nitampenda nani??

Huyo babe wangu tuna sehemu yetu tunayokutana humu wanga wengi hamchelewi kutupeperusha
Sawa boss ladyyy
 
Chineeekeeeee wewe hunishtui kabisaaa

Hapa napagawa na Jack tu!!! Hapa nimemtaja mapaja yasha shake [emoji39][emoji39][emoji39]

Huyo anajua nini mwanamke anataka kuanzia matunzo mpk kitandani
Ahahhahaha sawa mimi nakaa mbali kwenye jambo la mtu mtaacha tu akikuliza usije nishtakia lia uko uko 😂😂😂
 
Hamia kwake kwabisa sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sitaki bi mkubwa ajinyonge uzeeni maana atachemka battle zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dada ako nina hekaheka haswaaa!! Yeye awe anakuja kwangu, bi mkubwa tutakutana kwenye matukio ya kifamilia [emoji2222]
 
Nakuonea huruma wewe wenzio walisemaga ivyo ivyo Jack Palladino akikukuteka hapa utaanza mpangia sitak uchat na fulan then vidonda vya tumbo ivyooo kisa wivu haya

Mimi hata simfatilii kachat na nani? Kazi yangu afurahie uzee wake, si unajua mtu akizeeka anarudi utoto, mimi sina wivu wa kishamba na ulcers sipatiii ng’o [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kabla sijasahau naomba huo umbeya wa maex wake wenza [emoji2222]
 
Sitaki bi mkubwa ajinyonge uzeeni maana atachemka battle zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dada ako nina hekaheka haswaaa!! Yeye awe anakuja kwangu, bi mkubwa tutakutana kwenye matukio ya kifamilia [emoji2222]
Ahahhaha af mimi niataenda kukutambulisha bi mkubwa hana shida kabisa 😂
 
Back
Top Bottom