Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiselfika bila ua
Nakuhakikishia nitakufikia hata kwa kukesha🏃🏃
Hii bribe sikuwahi kuitarajia!!!😂😂😂
Embu nionyesha mfano nijue pakuanzia!🙃
Alafu ukitaka usi-lose progress kwenye CC inabidi ui-link na facebook acc yako ili iwe ina-save. That way hata ukibadilisha simu unaanzia pale pale ulipoishia!