Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maneno tuache tunaomba mselfike full body hatutaki visigino na milonjo [emoji12]

Hata km una bichwa km tunda ya ubuyu we tupia, hata km pimbi wewe lete tufurahi wajameni life is too short!! Tupeni burudani
Mie mwenzio kilaza uduguuu Unamaanisaaa???? Nimeuiza kwa sauti ya kibogoyoo😁🤠🤠
 
Anko wako ana kila kitu.
1.Mchapakazi
2.kifua
3.akili.
4.urefu
5.uchebe
6.mshipa.
7.mpole pia 😆😆😆

Sema huu uchebe unanifanya nionekane mtu mzima ujue nikinyoa nitaonekana kama mtoto wa form 5.

Na majirani wamenizoea hivi
Auweeeeehhh kumbe umebarikiwa ivooo ankoo hongeraa sanaaaa😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ndio vitu gani hivoo powercef msamiati mpya tena lol!!

Mie mnipe ya kukausha nyege hii menopause iishe vizuri uduguuu[emoji16][emoji1783]!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiboko ya wadangaji wa ndani na wa nje
 
Tunataka selfie na hatutaki black n white tupeni kavu kavu ili tuone vidoa vya sugu na vichwa vilivyopinda km kona za Iyovi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣! Hapo unanitishaa hadi naogopa kuselfika bila kuedit uduguuu mwenzio majuzikati nilienda kuondoa magaga yangu yaliyoshindokana miguuni huko saluni kuna kimashine cha umeme kinatekenya balaa😁😁🤠🤠!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Hapo unanitushaa uduguuu mwenzio majuzikati nilienda kuondoa magaga yangu miguuni huko kuna kimashine cha umeme kinatekenya balaa[emoji16][emoji16][emoji1783][emoji1783]!!

Uwe unaweka na jina la sehemu wanakotoa magaga na shoga zetu wa mbagala rangi tatu wakasafishe wasije kuchana net [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣🤣! Hapo unanitishaa hadi naogopa kuselfika bila kuedit uduguuu mwenzio majuzikati nilienda kuondoa magaga yangu yaliyoshindokana miguuni huko saluni kuna kimashine cha umeme kinatekenya balaa😁😁🤠🤠!!
Aiseee bora ww una magaga meupe yanatoka meusi hayatoki ujue ni sugu hiyo.
 
Uwe unaweka na jina la sehemu wanakotoa magaga na shoga zetu wa mbagala rangi tatu wakasafishe wasije kuchana net [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie Nilienda kununua Remover ili nitoe hii rangi nipake zangu hina ndio nimeizoea sasa Kijana wa kucha akapigia promo hiko kidudee weeee mpaka ananiwin kweli inapunguza na kulainisha magaga yaliyoshindikana yanapungua badae unaenda kujisugua taratibu taratibu huko kwako hadi yanaisha 🤣😁😁😁🤠!!
 
Cute Wife nasubiria guu la biaa nirare vizureee mpendwaaaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Mie hiki kigimbi changu siwezi kitupia humuu hata kwa brudozaa😁😁🤠!!
 
Back
Top Bottom