Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kibaka kakamatwa kaingia ndani sijui ya baa, sasa kaingia 18 za wenye mali wamempa kichapo na anahojia kaingiaje hapo ndani maana ni bonge na mlango waonekana mdogo (yaani ni sawa na tikiti maji ukute limezama ndani ya kitenesi)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1780]
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.


viatu hivyo vya kishamba mzee! pia saa hiyo kama ya "bosheni" yale yanauzwa KIKUU 4,000/=
 
Clarks me prefer.

Back in black.

20191130_105852.jpeg
 
Back
Top Bottom