Selfika na JF: Snap it. Show it

Ko una tangaza Vita na nani mlipuzi Penseli 4 πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£
 
Unayoo sema kapasso nawe umo iwa taarifa yako kama unanyapia humu kademu au njee kademu fulani taarifa nilizozipokea ni hizi yupo na mjeda na anacheo na amejazia tutakukuta siku moja upo juu ya mti wa ubuyu kwa sadala shauri yako
Ewe Binti Maua nime kukosea nini Lenie πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ‘‰Mi jobless tu 🀣😁
 
 
 
Hilo ndio muhimu, selfika basi shogaangu uwaonyeshe wewe sio wa mchezo mchezo wasikuchukulie poa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ipo siku nitakupa umbeya wangu kwa sasa na hangaika kusonga makande ya nazi hapa tule na huyu mutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…