Selfika na JF: Snap it. Show it

We shosti nipe na mie ilo selfie si unajua tumetoka mbali toka enzi ya muke ya muzungu, mama Bhokenzo mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walai kipindi kile ndio ingekua Saivi nahisi ningeshakimbia id yangu ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿคฃ! Zile naked ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ!! ๐Ÿค ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!
 
Maleko msalaam ๐Ÿ˜„
Unajua hapa jf melo akiamua kukusanya mahari atapata nyingi sanaa ๐Ÿ˜„ maana kuna visu juu ya gadem visu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜„
Tuko vizuri, sio wanyonge๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿฅด๐Ÿฅด๐Ÿฅด๐Ÿฅด๐Ÿฅดmbona unanichanganyaaa banaaa... nadate vipi humu wakati sina vigezo vya kupata mchuchu humuu
Unajua hili gazeti ni lasiku nyingi ndio maana humjui huyu mtu umeamua kumweka back list , ila huyu dada alikufaa sana nipo serious ndio maana wanakuita malaya
 
Virusiiiiiiii๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!!

Msisahau kuselfika wapendwaaa ๐Ÿ˜‚!!
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we mmestaafu saaa...hii wameingia virusi vya kimeta humuuu!!!
Mbonaa enzi zile za mama bhokenzo na sitaa,na Linda kujiunga jf
 
Unajua hili gazeti ni lasiku nyingi ndio maana humjui huyu mtu umeamua kumweka back list , ila huyu dada alikufaa sana nipo serious ndio maana wanakuita malaya
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yani hadi nasahau mkeka wangu.. sio kweli aisee... huu mkeka wa mtu mwingine sio mie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ