Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee...achana na huyo mwambaa anakuektia tuu
Huyu ni Don yen kabisaa ..
Mastaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
siasa mbaya hizi 😅😅😅
mie huyu huyu... sijui inakuwaje yani hapa naonekana mfanya matusi kumbe akhaaa . hata utelezi mmoja sijawa bahatika nao wa humu ndio maana siamini kama jf watu wanapena
 
😅😅😅 wanaume gani wana ugomvi aisee.. labda ma robot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…