Kwa lipi.??? Unajua wewe ninakustahii , tu kisa umesema we are friends nikaona ubuyu wako mpya misiseme ninao mkubwa hausu mutu humu ila namezea hapa na dagaa
mie najua wapi nitakudakaaa.. ila pendaneni dada zetu, mbona sie wanaume tunapenda, tunaheshimiana na tunasaidiana.. ndani ya jf na nje.. msiwe wachawi banaaa
Nna watu Tena wadada tunaheshimiana Nje ya jf sijawahi ona wamenidhalilisha ht Siku
Kuna kipindi mwanangu aliumwa aseehh alinitafutia mpk ustadh yule dada ..
Sijawahi kutana na jini makata JF nashukuru Kwa hilo
DepalLenie kuna kipindi kuliwakaga kama hivi kipindi kileee kulkua na ID moja inamwaga upupu selfika watu wanafyata wote Ile ID iliondokaga au imekuja kivingine
Tupo wastaarabu wapo marimbukeni uwezi kuta mwanaume kamili anaongelea mambo ya pm jukwaani au anasamba screenshot uko pm huyo ni ,shamba tu labda ni domo zege Kwahiyo kajitafuta kajipata joined 2008-2016 wengi wao mature sna