Kuna mtu alienda kusema uko mmimi msukuma makazi yangu mikocheni anielezea as if tumekutana nikampotezeà hapa ananijuà kwa face ni wawili tu lakin from no where mtu anakuelezea kuna muda ni kelo mwazo paliikuwa pametulia sana
Mwanzoni NilIkua mdau Huku ,yakaanza mambo meusi mmehama sipendi nimuamini Mtu then alete uswazi NilIkua najiposti Tena live kabisa
Sasa hv mmepumzika Kwa kweli