Selfika na JF: Snap it. Show it

Nani nimemchukia?? Na kwa lipi?? Hebu mwambie aje front atoe dukuduku lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 mie najua wapi nitakudakaaa.. ila pendaneni dada zetu, mbona sie wanaume tunapenda, tunaheshimiana na tunasaidiana.. ndani ya jf na nje.. msiwe wachawi banaaa
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Afu ndio nikutane na watu wa humu thubutuuuu!!! Ni kuchorana tu humu
 
Mwanzoni NilIkua mdau Huku ,yakaanza mambo meusi mmehama sipendi nimuamini Mtu then alete uswazi NilIkua najiposti Tena live kabisa
Sasa hv mmepumzika Kwa kweli

We shosti nipe na mie ilo selfie si unajua tumetoka mbali toka enzi ya muke ya muzungu, mama Bhokenzo mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…