Selfika na JF: Snap it. Show it

sio kweli, mie mbona sijawai tomber mtu humu, shida humu ni fununu nyingi kuliko ukweli.. watu wanazushiana tu.. mfano Depal wanamzushia alafu bwana wake nipo hapa.. haya mwingine wanamzushia Mwachiluwi kakaangwaaa... so kuna kiwanda cha umbea
Vitu vya kawaidaa sana ukiuliza uyo mtu ushawaai kutana na muhusika hapana umesikia wapi nimeambiwa tu na mwafulani aha kumbe sawa
 
siamini kwanza kama wana jf hukutana na kutiana
 
Sio kujilahisisha ujue kuna muda watu awajakutana na mihogo na hivi kuna uwaba wa mihogo mizuri ilio komaa kwahiyo mtu ukijinadi vzr hapa mdada kakueleewa anakupa kwa upendo shida inakuja kwa mwanaume a anataka aonekane ila uchaguzi ni wenu kuna watu wanakulana af usikii ata kelele ya feni hapa ila ukitaka kuliwa na limbukeni wa k lazima kelele tusikie
 
Mwazo palikuwa hakuna uswahili nilivutiwa na kijiwe hiki sana lakini watoto watoto wa tandale wamevamia hapa hapanog ata kupunguza mawazo

Ko Asake yupo humu na dada zake kina Esma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…