Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haina nikaushie kabisa
IAM not your enemy,
👉Pole Sana jf doesn't play fair, mshamba_hachekwi na National Anthem Hawa kukuambia take it easy🤔.
👉badala ya kuanza kuni lalamikia Mimi, chagua kuendelea ku log in au kubadili I'd.
👉maana Kila mbuyu mkubwa una Kila jini, sio uungwana hauja tajwa una Anza kunipa malalamiko mimi
 
IAM not your enemy,
👉Pole Sana jf doesn't play fair, mshamba_hachekwi na National Anthem Hawa kukuambia take it easy🤔.
👉badala ya kuanza kuni lalamikia Mimi, chagua kuendelea au ku log in au kubadili I'd.
👉maana Kila mbuyu mkubwa una Kila jini, sio uungwana hauja tajwa una Anza kunipa malalamiko mimi
Mie mwenyewe namtaka Dahan .. sitaki sikia la nani wala nani kila mtu apambanie kombe kivyake... mwenye mganga mkali atachukua kombe 😅😅😅

maneno maneo ya Jf huwa nayapuuza... huwa nashangaa mbember kumchukia member au kuwa na chuki na mtu
 
Cc mshamba_hachekwi wana beba manzi yako😂🤣😁
 
Back
Top Bottom