Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kitu amabcho naona ni rahisi utajiri, ila inahitaji akili na uvumilivu tu, na kukubali level ya mkwanja ambao utakufikia.. wana wangu kadhaa walitengeza hadi $200,000 na kuwa wengine sasa hivi wapo mbaali sanaa.. lazima tutuboe sema tuache uasherati na uzinzi kama Cute Wife.. maana hizo mambo ni adui wa maendeleo
Daah $200000- hio ni m400 na ushee😃😄🤒, mtu haoni tabu kununua hata hisa 200 za apple au coke🤒
 
Mwanamke ni pambo.. kwa kidume wataka kuona nini.. alafu nani kakurisha tango kuwa na kitambi

Weka nithibitishe basi, hakuna mtu aliyesema una kitambi bhana mi nilikua nakutania tu best

Ko pic unaweka au niendelee kuteseka na kichwa changu??
 
Back
Top Bottom