Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohhh kile Cha mpunga mbarali, mna mwagilia na water pump??
👉Mna fungulia scheme za maji??
Kule kuna scheme za umwagiliaji

Watu wametengeneza vitalu then kuna kuwa na zamu ya kuachia maji yaingie kwenye vitali vyenu kulingana na zamu.

Ila kama una hela unaweza kuchukua eneo lolote kubwa mahari then uchimbe Kisima ufunge system ya umwagiliaji.

Ukiweza kujitegemea kwenye hili unaweza kuvuna mazao mengi wakati huu wa Kiangazi
 
Njaa Kali bro, nataka tu heka twa kupiga mshindo kiasi ty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…