Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu yake Antonnia
Umetisha sanaa
Mlijivuta vuta kwa Mjukuu wangu hadi Mjeshi akachukua Jiko, cheki anavyong'aa utasema hapigwi na jua letu la Kibongo πŸ€—

Hapa nawashawishi Wazee wenzangu tuongeze mahari kwa Mjeshi, nahisi ametuzulumu wakati waku-bargain πŸ€ͺ
 
View attachment 2707689

ajuza Cute Wife tia neno hapo [emoji28][emoji28]

Unikome maajuza huwajui??? Afu toka nikukatae unateseka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muone bichwa lake km treni za escape from sobibo. Hebu weka pic yako kwanza tuone ulivyokondeana na unyafuzi, kitambi km unakunywa maji ya chooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
HrffefujπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€” National Anthem
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…