raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,508
- 35,697
Watu wanataka kuona warembo bhanaa 😀Nasubiria yako, ukituma na mie nafata.
Watu wanataka kuona warembo bhanaa 😀Nasubiria yako, ukituma na mie nafata.
😊😊😊 roho itakushangaaa kwanzaa . mie na Depal wengine wanaingilia tu penzi letu.. huwa tunakuwa na vi likizo vifupi vifupi.. sasa jikune uoneKwa niaba ya shemeji yangu, Nita kutoa Roho mbiga wee😂😁
Usiamini la kuambiwa😁😂Mchumba wa nani huyo
Nazungumzia mkeo, mi ndo shemeji yake🤒😊😊😊 roho itakushangaaa kwanzaa . mie na Depal wengine wanaingilia tu penzi letu.. huwa tunakuwa na vi likizo vifupi vifupi.. sasa jikune uone
AnamjuaBest yake nani huyo ulimliza
Sitaki mtaua wapenz wenu 😀😀😀 Wakiona Aaliyah tu wanameza mate mazito 🙌😂😂😂I missed you 😍😍😜
For real😁😂Anamjua



Nime sema, I missed you😍Sitaki mtaua wapenz wenu 😀😀😀 Wakiona Aaliyah tu wanameza mate mazito 🙌😂😂😂
😅😅😅 mke aliingilia mawimbi ya kipenzi changu.. ila mke ni huyu yani.. sijui nani aliroga walahiNazungumzia mkeo, mi ndo shemeji yake🤒
Nashangaa sijuj Aaliyyah kawaje 🤒🤔,Nalala nimechoka nimekuachia popo uingie lindo
Afu wewe unawapambanisha mababe zako kikinuka unakula njoro
Eeeeh heeee. Mungu yu mwema
Apo ndo umebarikiwa le supa mtindiz unaogopa! Ungepewa sura ya kazi ya mzee! Nawe ungekua una pita mbali na uzi eh!Sipendi bana, tutaacha kupost![]()
😂😂Nime sema, I missed you😍
Mbona Niko single jf nzima 🤔🤒Sitaki mtaua wapenzi wenu
😀😀😀Nalala nimechoka nimekuachia popo uingie lindo
Afu wewe unawapambanisha mababe zako kikinuka unakula njoro
Mambo



Namuamini Sana Unique FlowerUsiamini la kuambiwa😁😂
Kumbe nilisahau wew kataa Ndoa😀Mbona Niko single jf nzima 🤔🤒