Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema nakapenda kamwili kangu kanamtoa roho mtoto wa mama mkwe mpk ananuna nisiselfike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una mwili mzuri sana udugu yani unabebeka na kukunjika vizuri kabisa!!
Wee hapo lazima Mwamba adattttreeee!! Atazunguka kotrrree ila hapo ni mwisho wa reliii😂😁!! Akikuacha lazima ajutreee!🤣🤭!
 
Una mwili mzuri sana udugu yani unabebeka na kukunjika vizuri kabisa!!
Wee hapo lazima Mwamba adattttreeee!! Atazunguka kotrrree ila hapo ni mwisho wa reliii[emoji23][emoji16]!! Akikuacha lazima ajutreee![emoji1787][emoji2960]!

[emoji2222] HAIPINGWI
 
Wewe upo bomba hiyo shape inaendana na urefu wako
Sio wamongolii wapo km paka la bar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui ndio kudumaa sijui kubemendwa tuseme 🤣!!
Uduguu Ebu selfika kwanzaa uubless Usiku wangu uduguuu nataka Nikapumzishe fuvu langu 🤠🤠!!
Ila utupie furrrruuuu sio vipisi vya sigara Missy Gf nasubiria selfii zeinyuuu wapendwa!!
 
Mweh nina hata jipya sasa shougaaanguuu sinaa !!!
Kwanza Samalekoooo kipenziii nafurahi sana kukuona trena selfika Kubwa La Maadui!!
![emoji7][emoji7]!
Nipooo shogileee akeee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Mic u mnooo
 
Noumaaa nanusuuuuu uduguuu nahuu uzee si ntadondoka nikate mazima hapohapooo mieee[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji16]!! Nakomaa ivoivoooo network inakuja na kukata[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji16]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni hatariiiii sasa hii.
 
Kuselfika kumeniponza na kubebisha watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe si ulijifungia kwa G taarifa utazipataje??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G who? Which? Where? When?
 
Sijui ndio kudumaa sijui kubemendwa tuseme 🤣!!
Uduguu Ebu selfika kwanzaa uubless Usiku wangu uduguuu nataka Nikapumzishe fuvu langu 🤠🤠!!
Ila utupie furrrruuuu sio vipisi vya sigara Missy Gf nasubiria selfii zeinyuuu wapendwa!!
Ila huyu shotiii mnayemuongelea naniii maana mmejua kumnanga 😆😆😆😆
 
Uduguu [emoji7][emoji7][emoji7] mzuri mpk unakeraaaaa!! Ni haki wamongolii wakukasirikie umewazidi [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamongoliii ndo wepiii? Acha unaa wee
 
Back
Top Bottom