Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

uduguu mwenzio nimeanza kulewa sichelewi kuharibu kijiwe

Wewe wa moto udugu unazeeka na hips lako, kazi kwa wamongolii wafupi km vikombe vya kahawa, wamepauka km pazia la leba
weusi tii km wamemwagiwa oil chafuuu.
Utasikia naipenda rangi yangu, huku wana haha na mikorogo ya mafungu.
 
Asantreeeeeeeeee! Mtrotro mkareeee wewe auwiiiiiii!
Nougaaa sana uduguuu!!
Kumbe nawe una bongesa la guu la biaaaa aririrriiiiiii

Wamongolii basi hapo wamejificha wanachungulia kwa mbali
 
Back
Top Bottom