Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee sharubu umenyoa vizuri hivooo lol! Kwa sauti ya Missy Gf 😊😊!!

Ile misulii leo haijaonekana vizuree babuuu badae urudiee ya misuliii 🀠😊😊!
Koh koh koh .......

Misuli imeanza kupotea, si unajua mwezi ujao natimizia miaka 79πŸ€ͺ
 
Koh koh koh .......

Misuli imeanza kupotea, si unajua mwezi ujao natimizia miaka 79πŸ€ͺ
🀠🀠🀣! Wajukuu tutakuja kukumwagia maji ya birthday...Au nasema uongo Cute Wife ??? 🀠🀠🀠
Kyuti rekodi hili usije sahau uduguuu!!
 
kuna spray wanajipulizia kukata pombe
Nilikuwa sijui kwa kweli

Alafu nilijidai mjanja nikatenga pembeni laki 3 ya vyombo, lakini huwezi amini nilienda mwenye Mlimani City kufata hela zingine πŸ€ͺπŸ™Œ
 
Nilikuwa sijui kwa kweli

Alafu nilijidai mjanja nikatenga pembeni laki 3 ya vyombo, lakini huwezi amini nilienda mwenye Mlimani City kufata hela zingine

Pole hao dragon wa kuwa nao makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…