Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,893
- 67,358
Dun bas hatari iyo
Duh hatari Nipo ubalozini hapa wa marekani naombaa visa situation nitapata na English hiiiNimewakinai tyuu!! [emoji57]
Duh hatari Nipo ubalozini hapa wa marekani naombaa visa situation nitapata na English hiii
Marekan mimi bongo bahat mbaya tuVisa ya wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kuwa serious bas
Mshaifanya USA km mnaenda samvula chole [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuuu niwachee, wee nipee vochaa. Penzii baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penzi lako linazama badala tuliokoe unawaza vocha?!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa tunasuruhisha kesi yako na shem hebu tulia dada ako nimeachika na wewe uachike unafikiri itakuwaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaishije mjini JF bila tajiri Mjep
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna ghaflaa sanaaaTalaka ninayo ya wino mwekundu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi ndio baba Jane bye bye kweli haina kurudi nyuma [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinambieeeAna jeuri ya pesa huyooo kachafuka petrol station na hotel za five star [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nimelala moja ya hotel zake
Marekan mimi bongo bahat mbaya tu
Nnikauze vumbi la Kong ahhahaahaWewe labda uende Kongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uduguuuu niwachee, wee nipee vochaa. Penzii baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nitumie bhana, tugawane ulizopewa jana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] raha ya vocha uwe una uhakika wa kummiliki mume
Hizo vocha si zinatoka kwa shem ebooh!! Unajisahulisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna ghaflaa sanaaa
Jana nilienda balozi ya China tumeshindwa elewana nanda leo mchana English yao ngumu anachanganya na kichina leo atakuwepo mkalimanWewe labda uende Kongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nil8
Nnikauze vumbi la Kong ahhahaaha
Nikiuza uwakika wakumiliki vanguard upon?Njoo vile mupapaa unauzisha vumbi tupate madolari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nitumie bhana, tugawane ulizopewa jana.
Jana nilienda balozi ya China tumeshindwa elewana nanda leo mchana English yao ngumu anachanganya na kichina leo atakuwepo mkaliman
Nikiuza uwakika wakumiliki vanguard upon?
Ahahahha embu niache ni wasumbue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe tulia unakoelekea watabandika picha yako ili ukionekana tyu ukamatwe upelekwe milembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiii, mnaachana na mie sijui, khaaaahNimeachika usiku wa manane giza totoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora angesubiri hata jogoo la kwanza liwike jamani!!!!!
Ndio hivyo ss hivi hakuna babe wala baby show