Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,376
Ahahahaah pole umeamshwa au umeamka mwenyewe tu
Ahahahaah pole umeamshwa au umeamka mwenyewe tuNikapitiwa na usingizi, hapa ndio naamka [emoji4][emoji4][emoji4]
Mie sio mkorofii hataa uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amebadilika huyo shem wako.
Kapigwa ban? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaah pole umeamshwa au umeamka mwenyewe tu
Upo wapi uko kwenye raha ivyoNimeamshwa na alarm afu baridi kali na upepo sitamani hata kutoka kwa bed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokooo wee nitumie vochaa bhanaa, nataka niingie Netflix.Kweli?? Au shem kapata mcheps tukaufanyie ambushi atuachie mume wa mtu?!!!
Hebu tumia ile 1-7-11 uone km hajakaa kwenye line
Usisahau mrejesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan wizoo khaaahItakuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo wapi uko kwenye raha ivyo
Kheeeeh Ngarero daraja 2 umeshapakimbia? Uduguuu sikuweziiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara hii umesahau?? Nipo border bana kuna mnyamwanga mmoja ananiambia alete ng’ombe home [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie wapitie wapitie kwangu hapaMara hii umesahau?? Nipo border bana kuna mnyamwanga mmoja ananiambia alete ng’ombe home [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokooo wee nitumie vochaa bhanaa, nataka niingie Netflix.
Kheeeeh Ngarero daraja 2 umeshapakimbia? Uduguuu sikuweziiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie wapitie wapitie kwangu hapa
Ah hahaha kwahhiyo unalala bure kula bure kila kitu freeAna jeuri ya pesa huyooo kachafuka petrol station na hotel za five star [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nimelala moja ya hotel zake
Ah hahaha kwahhiyo unalala bure kula bure kila kitu free
Duh muonee hurumaaEee ndiwooo!! Tajiri ananiita Murembo wa daslam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ananiambia twende wote zedi akanionyeshe ma project yake mengine
Duh muonee hurumaa
Tumekukosea nini?Thubutuuu!!! Yeye ale kwa macho tu! Sitaki hekaheka na wanaume naenjoy kuwa single [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumekukosea nini?