Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,201
Hahah mimi mwenyew kiboko ninawivu pro max 😀😀😀ngoja nijaribu kukuonea wivu wewe nione itakuwaje
Hahah mimi mwenyew kiboko ninawivu pro max 😀😀😀ngoja nijaribu kukuonea wivu wewe nione itakuwaje
ohooo.. acha niendelee kukazaa.. hadi muachane.. alafu na mie nimenunua subaru.. tayari..Kuna dalili flani flani ila bado hatuja-finalize mambo!😔
basi tutaona nani ana wivu mkali zaidiHahah mimi mwenyew kiboko ninawivu pro max 😀😀😀
Kwamba tushindane Mimi nitashinda 😂😂😂basi tutaona nani ana wivu mkali zaidi
Kabisa yaani ni shida Kuna wengine hawana wivu ni matatizo [emoji3][emoji3]Umenikumbusha zamani nikitoka kabla sijaenda kwangu lazima anione anuse nguo km Sina harufu tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute ulienda vikundi vya kinamam harufu tofaut tofauti Kama ulimuhug shogaako andaa maelezo 😂😂😂😂Mambo kama hayo yanakera sana[emoji28]
Huwezi nishinda mie aisee.. lazima nikushindeeKwamba tushindane Mimi nitashinda 😂😂😂
Aka Sponsa 😂😂Kwakweli hapana looh😀😀😀Shuga dadi[emoji1787]View attachment 2706393
Ahahahah mnajua kuunganisha dot ahahPenzi limetaradadi 😀hongera
Ukute ulienda vikundi vya kinamam harufu tofaut tofauti Kama ulimuhug shogaako andaa maelezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha si tulikubaliana nakuja kuoa kwenuSo utawaita warembo shemeji hadi lini?
Ahahaha si tulikubaliana nakuja kuoa kwenu
Ni wakat wako kijana 😂Ahahahah mnajua kuunganisha dot ahah
Special case ni Kwamba nimevamia mtumbwi wa vibengwo😂😂😂Duh jamaa alikuwa na wivu sana. Vipi wa sasa hivi?
Ata akinilea? 😂Ahaaa Dada yangu humuwezi kabisa[emoji28]
Mimi sasa nakupenda weweNi wakat wako kijana 😂
Tunaishimara moja tu wanasema ukipata nafas ya kupenda pendaSana ukipata nafasi ya kufurahi furahi sana maisha kubadilika ni dakika moja tu
Special case ni Kwamba nimevamia mtumbwi wa vibengwo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ata akinilea? [emoji23]