mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
hata google kama unayo, au google go, phoenix browser au opera mini
hata google kama unayo, au google go, phoenix browser au opera mini
Njoo pm mshamba_hachekwi azimie😁😁😁
wivu utaniua aisee🤣Njoo pm mshamba_hachekwi azimie😁😁😁
Huyo kashazitumia 😀😀Niko poa aunt
Vocha zako mdai mshamba_hachekwi kakutunzia
Nina mwaka sijapata vocha za selfika 😀😀Niko poa aunt
Vocha zako mdai mshamba_hachekwi kakutunzia
Shida Nini dearLeo ni siku mbaya na ya hasara kwangu,sijielewi kabisa, nafanya kitu then najutia, sijui shida nini?
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
sijaichukua bana😂 kuna watu wanapita kimya kimyaHuyo kashazitumia 😀😀
Nishakuja pm nipo nimekaa kwenye kiti[emoji23]Njoo pm mshamba_hachekwi azimie[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kawaida Yao wanapita kimya kimya 😀😀sijaichukua bana😂 kuna watu wanapita kimya kimya
Phoenix ninayo/opera pia ipo.hata google kama unayo, au google go, phoenix browser au opera mini
tumia opera imekaa poa
kuna samaki wengi baharini😁 hunitishimshamba_hachekwi njoo ushuhudie huku
Utazirai wewe na wivu😁😁😁😁
Sizitaki mbichi hizi...😁😁😁kuna samaki wengi baharini😁 hunitishi
Nimeweza😀,tena na hivi ninashida ya macho,aisee nakuza miherufi🙏🙏tumia opera imekaa poa
MjepSasa mjep tupia nione😬