mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
chai, siku 10 ndo rekodi ya dunia😂Ukajiona legend😂 watu tuli lienda zaidi ya 2 month😂🤒,
chai, siku 10 ndo rekodi ya dunia😂Ukajiona legend😂 watu tuli lienda zaidi ya 2 month😂🤒,
umeshapata connection??Kabisa
Dah unafiki huu, nina matatizo mpaka najiogopa😂😂🤒hapa wote majobless ndo maana tumepoa😂 labda intelli ndo ana afadhali
kilimo hakilipi sio😂Dah unafiki huu, nina matatizo mpaka najiogopa😂😂🤒
Bado mwanangu. Nikupe namba unichekieumeshapata connection??
Ni vile siko interested na rekodi za Guinness, ila naeza enda zaidi ya day hizo😂🤣🤣chai, siku 10 ndo rekodi ya dunia😂
umesomea nini?? maybe i know somebody😅Bado mwanangu. Nikupe namba unichekie
chai tena😅Ni vile siko interested na rekodi za Guinness, ila naeza enda zaidi ya day hizo😂🤣🤣
Business Managementumesomea nini?? maybe i know somebody😅
nikipata kitu ntakusanua mwananguBusiness Management
Nice Hiyo ni Kama business administration.Business Management
Haya dearnikipata kitu ntakusanua mwanangu
Ngazi ipi???, Certificate, diploma au ..Business Management
Dia Tena🤒, ntakuroga aisee😁Haya dear
acha wenge utaachika kama mwachiluwi😂Dia Tena🤒, ntakuroga aisee😁
Bro hauja jua nina booster ya sleeping disorder 😁🤒chai tena😅
Halafu uje uni lipue katika comment😁🤒, dah msgrhehru owjeu😂🤣😁acha wenge utaachika kama mwachiluwi😂
Ms eyes huja nijibu hii??Ngazi ipi???, Certificate, diploma au ..
Salama chiefhabari yako chief