mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,847
Hapo sawa nimeamin upo Moshi town...
Oooh
Mepita naelekea polisi Mesi
Kuna muda kama dakika 3 hivi .. Uzi ulikuwa haufunguki.. Nikajua wameufutaView attachment 1276038
YeapAhaa sheli..
Oooh
Sasa nimeelewa mkuu View attachment 1276250
Inatosha kabisaa jamani!
Baadae sana jamani!Ya mwisho basi, kwa leo.
Baadae sana jamani!
SawaSikuona kama kuna umuhimu wa hilo swali.
Maana statement ilikuwa ni self explanatory.
BTW, siyo kila kitu kinachoandikwa JF lazima kiwe validated.
HahahahTeh teh teh teeeeeh! Yangu majicho
Anytime. Ni-tag tu. Kama uko IG, mtafute Ashanti akupe inspiration![]()




Nipo mtaa wa Moshi hapa..Kila mtu anahangaika kivyake..View attachment 1276220
Hakuna foleni kihivyo myMungu Onesha Sehemu Hela Ipo ndio imekuwa na mafoleni hivi!!!
Kweli i'll need to revisit hii kipande soon

Mbona umepotea tena mwanakati mwenzanguu jamani
Collection ya nyeusi, za blue na nyeupe inakuja. Ila kwa sasa nyingine inabidi nizitafute sizioni machimbo nilikoziweka....