Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20191107-WA0021.jpg
 
I bet itakuwa zimerushiwa garage...au mzee garage yako haiyumiki kirushia mavitu hayahitajiki tena?
Yeah, kuna vitu huko hata sijui ninavyo mpaka nikague.

Kuna Timberland collection niliisahau huko, kuna siku natafuta kitabu gani sijui nikaikuta collection nzima huko. Uzuri garage ni weatherproof collection ilikuwa intact.

Nataka kuweka vizuri kwenye magunia nivirushe bongo, maana ni kufuru vikikaa hapa tu. Lakini naambiwa kuna kodi balaa, mimi sitaki kuuza, nataka kutoa msaada/zawadi, sasa sitaki kutozwa kodi kwa kutoa zawadi/ msaada. Na bongo ukiwaambia unatoa msaada/ zawadi magunia mawili ya viatu, hawaaamini. Wanaona unafanya biashara unataka kukwepa kodi.

Nisharusha mara kadhaa kwa kupitia ndugu wanaokuja kunisalimia, ila kwa sasa kimepita kitambo tangu nirushe. Huwa sipendi mtu kuvaa kitu changu, kwa sababu naona kama ni hands me down, lakini najua kuna watu wengi watashukuru kupata mabuti na nguo.

Frankly, kuna vingi ambavyo hata kuvaa bado sijavaa vina mpaka label.

Ukiangalia picha ya mwisho kuna buti sijavaa bado zina label, so hizo hata huwezi kusema ni "hands me down". Nikifikiria kuna watu wana matatizo ya kupata viatu vizuri napata uchungu.

Kuna madogo wanakuja kunitembelea mwezi huu unaokuja wa December, labda watachangamkia tenda.

One love.
 
Back
Top Bottom