Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Ww una amini mpaka mkojani?Nimwagie na ya humu nakuaminia mtu wangu [emoji39][emoji39]
Ww una amini mpaka mkojani?Nimwagie na ya humu nakuaminia mtu wangu [emoji39][emoji39]
Nimeacha kabisaWe hujui?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila baba Paroko mapenzi yatakuua
Ww una amini mpaka mkojani?
Nimeacha kabisa
Anachochea moto uyoMkojani nae anawasha au anawashiwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahaha mshamba_hachekwiUnamuachia nani sasa?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cute wife kanipa mzigo wangu leo jion imekuwa vyedi kbisa jezi ya yanga inahusik
Ndio iyo kesho natinga nayo barabarani 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pesa ya maza ya soda unaenda kununulia jezi la utopolo
[emoji23][emoji1787][emoji2][emoji2], Mpambe nuksi
Kumbe una wapenzi wengi, nashangaa unavyo Lia Lia😃😁Cute wife kanipa mzigo wangu leo jion imekuwa vyedi kbisa jezi ya yanga inahusik
Ndio iyo kesho natinga nayo barabarani [emoji23][emoji23]
Mwache apumue Basi😃😁Umenishinda[emoji119][emoji119][emoji119] unapooza machungu ya kuachwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe una wapenzi wengi, nashangaa unavyo Lia Lia[emoji2][emoji16]
Wewe huyu shemeji yangu kwa Countrywide mm ndio nachunga maliKumbe una wapenzi wengi, nashangaa unavyo Lia Lia😃😁
Af sijariiiii wala niniUmenishinda[emoji119][emoji119][emoji119] unapooza machungu ya kuachwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee kumbe mna tumiana na pesa😃😁We koma mwachi sio mpz wangu
Hiyo pesa nilimtumia kwaajiri ya mama yake kwa upendo wangu kwa wamama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oa na wewe nikuchangie suti pacha
Unateseka ukiwa wapi! 😂😂Aisee kumbe mna tumiana na pesa😃😁
Wewe huyu shemeji yangu kwa Countrywide mm ndio nachunga mali
Af sijariiiii wala nini