Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Nimesharekebisha.rekebisha bana hapa watu wanatuona😁
Nimesharekebisha.rekebisha bana hapa watu wanatuona😁
tulia sasa naandaa scriptNimesharekebisha.
tulia sasa naandaa script
mawardat mambo
Poa,mzima?mawardat mambo
mzima, leo tunalewa wapiPoa,mzima?
sasa weekend yako inaendaje aisee
Me nipo hivihivi sinaga mambo mambo mie[emoji23],,,sasa weekend yako inaendaje aisee
Nimefata 😀😀Hahaahha,
Ewaaaaa 🥂🍻Ewaaaa usikose na kakesto laiti hapo kati kasindikize eekend yako
Nashiba vizuri kabisa 😃😃Unashiba hii?
[emoji1787][emoji1787]Huyu usimtilie maanani, atakulisha matango pori [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa kwa nn mnahisi kubeba mimba ni zawadi kwa mwanaume na sio nyie wenyewe?Hataree!! Ukajibebeshe mimba hovyo ujiharibie future yako kwa u-star wa mtu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ni zaidi ya uwenda wazimu
[emoji1787]Achana naye atakuponza, kwanza alilewa sio yeye
SI ume sema we ndo una amua?? Ms eyes 🤒Kweli kabisa?
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo ni g.o.a.t kwenye hilo eneo, anajua hadi ile ya kutumia nzi[emoji23]