Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh with kind of vision🤒, tuje tupate kiongozi, baba, au hata Kaka🤔.
👉Acheni kudanganyana young bro,
👉Eti kazi ya sehemu za Siri ni nini??, For real bro una ongea Kama ume meza mayai vinza 🤒
👉Yaani kujiweka uchi hadharani, ndo u supa star🤔
Ww ndio mshamba ila huchekwi huko ulaya watu wanavaa na hakuna stress acheni kuwapangia watu maisha bhna
 
Mimi kama muongo nakupa hii chini ya kapeti ndani ya mwezi uhu kuna wadada wa wili wamejipanga kukutafuta kila mtu na gia yake muhimu tu walale na wewe then watoe feedback lakini mmoja kazamilia kukuroga kabisa

Watu maarufu wanakuwaga mazuzu sana na kupenda vya dezo kuna mtu alitegemea dimpoz iko siku atakuwa choko?

we kweli? Mbona unataka kunitia presha kwnn lakini?!!!
 
Mhm!! Kwann Fid ampige mkwala Juma? Hebu elezea vizuri hapo baba Paroko
Afagilii itikadi zake na sio Fd q pekee kuna yule anae piga wasanii yupo cloud siku iyo alikuwa anataka kumshushia
Kipigo juma pale clouds bila kwisa angepigwa
 
Back
Top Bottom