YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,881 Countrywide said: Hadi sasa roho ipo juu, umenunua brands tupu. Where did you get that money?? Click to expand... Kantri una nini lakini??!! Eti Eeh?!!! Mwenzio apeche alolo navaa za wakinga kutoka Guangzhou
Countrywide said: Hadi sasa roho ipo juu, umenunua brands tupu. Where did you get that money?? Click to expand... Kantri una nini lakini??!! Eti Eeh?!!! Mwenzio apeche alolo navaa za wakinga kutoka Guangzhou
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 28, 2023 #355,882 Countrywide said: Hili halina ukweli Click to expand... Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamla Juma lokole alisikia fdq anatango kubwa akaanza mshobokea fid q akampa mkwala juma lokole akagive up ila nasikia bado ajakata tamaaa
Countrywide said: Hili halina ukweli Click to expand... Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamla Juma lokole alisikia fdq anatango kubwa akaanza mshobokea fid q akampa mkwala juma lokole akagive up ila nasikia bado ajakata tamaaa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 28, 2023 #355,883 Cute Wife said: Kino kumeoza, afu ss hivi upuuzi wa kino umeweka mizizi tabata Click to expand... Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu
Cute Wife said: Kino kumeoza, afu ss hivi upuuzi wa kino umeweka mizizi tabata Click to expand... Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 28, 2023 #355,884 Jack Palladino nikuachie mke huyu
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jul 28, 2023 #355,885 Cute Wife said: Kantri una nini lakini??!! Eti Eeh?!!! Mwenzio apeche alolo navaa za wakinga kutoka Guangzhou Click to expand... Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money???? Soon or later jibu nitalipata
Cute Wife said: Kantri una nini lakini??!! Eti Eeh?!!! Mwenzio apeche alolo navaa za wakinga kutoka Guangzhou Click to expand... Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money???? Soon or later jibu nitalipata
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,886 Mwachiluwi said: Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamla Juma lokole alisikia fdq anatango kubwa akaanza mshobokea fid q akampa mkwala juma lokole akagive up ila nasikia bado ajakata tamaaa Click to expand... Nani huyo sasa aliyempiga mkwala J lokole?
Mwachiluwi said: Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamla Juma lokole alisikia fdq anatango kubwa akaanza mshobokea fid q akampa mkwala juma lokole akagive up ila nasikia bado ajakata tamaaa Click to expand... Nani huyo sasa aliyempiga mkwala J lokole?
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,887 Mwachiluwi said: Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu Click to expand... Basi nipe piem
Mwachiluwi said: Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu Click to expand... Basi nipe piem
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,888 Countrywide said: Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money???? Soon or later jibu nitalipata Click to expand... Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu
Countrywide said: Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money???? Soon or later jibu nitalipata Click to expand... Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jul 28, 2023 #355,889 Cute Wife said: Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu Click to expand... Dada leta ubuyu wa bungeni
Cute Wife said: Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu Click to expand... Dada leta ubuyu wa bungeni
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jul 28, 2023 #355,890 Intelligent businessman said: Mkubwa una tatizo na Mimi Jack Palladino Click to expand... Sina tatizo
Intelligent businessman said: Mkubwa una tatizo na Mimi Jack Palladino Click to expand... Sina tatizo
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jul 28, 2023 #355,891 Mwachiluwi said: Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu Click to expand... Nmecheka sana kumbe na wewe ni mbunge wa bunge letu tukufu 🤣🤣🤣
Mwachiluwi said: Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu Click to expand... Nmecheka sana kumbe na wewe ni mbunge wa bunge letu tukufu 🤣🤣🤣
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,892 Missy Gf said: Dada leta ubuyu wa bungeni Click to expand... Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania
Missy Gf said: Dada leta ubuyu wa bungeni Click to expand... Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jul 28, 2023 #355,893 Cute Wife said: Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania Click to expand... Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamani
Cute Wife said: Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania Click to expand... Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamani
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,445 Reaction score 96,834 Jul 28, 2023 #355,894 Jack Palladino said: Sina tatizo Click to expand... Sasa kwanini upate relief, kutoka kwa ubavu wangu wa pili 😁😁
Jack Palladino said: Sina tatizo Click to expand... Sasa kwanini upate relief, kutoka kwa ubavu wangu wa pili 😁😁
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,445 Reaction score 96,834 Jul 28, 2023 #355,895 Mwachiluwi said: Huyo anachipukia ila majizo kwanini aweke kigezo cha kupata kazi ni kuotoa rinda Hawa ndio wanatufanya tuchukie umaaruf Click to expand... Majizo hajaweka kigezo hicho, Nina mfahamu mtu Ni mwajiriwa pale.
Mwachiluwi said: Huyo anachipukia ila majizo kwanini aweke kigezo cha kupata kazi ni kuotoa rinda Hawa ndio wanatufanya tuchukie umaaruf Click to expand... Majizo hajaweka kigezo hicho, Nina mfahamu mtu Ni mwajiriwa pale.
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 28, 2023 #355,896 Missy Gf said: Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamani Click to expand... Nashangaa!!! Umbea nao wa kumbania mtu kweli?
Missy Gf said: Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamani Click to expand... Nashangaa!!! Umbea nao wa kumbania mtu kweli?
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jul 29, 2023 #355,897 Cute Wife said: Nashangaa!!! Umbea nao wa kumbania mtu kweli? Click to expand... Letter tucheke yaishe Ila jamani dar imeozaaa Hao celebrities wananuka ufuska tuuu
Cute Wife said: Nashangaa!!! Umbea nao wa kumbania mtu kweli? Click to expand... Letter tucheke yaishe Ila jamani dar imeozaaa Hao celebrities wananuka ufuska tuuu
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 29, 2023 #355,898 Missy Gf said: Letter tucheke yaishe Ila jamani dar imeozaaa Hao celebrities wananuka ufuska tuuu Click to expand... Nyege zetu zote wametubebea wao
Missy Gf said: Letter tucheke yaishe Ila jamani dar imeozaaa Hao celebrities wananuka ufuska tuuu Click to expand... Nyege zetu zote wametubebea wao
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jul 29, 2023 #355,899 Cute Wife said: Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu Click to expand... Kwa zile spending kuna kitu hakipo sawa, nafanya uchunguzi huru. Mbuzi ukimuona juu ya mti ujue kuna mtu kampandisha
Cute Wife said: Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu Click to expand... Kwa zile spending kuna kitu hakipo sawa, nafanya uchunguzi huru. Mbuzi ukimuona juu ya mti ujue kuna mtu kampandisha
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jul 29, 2023 #355,900 Cute Wife said: Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania Click to expand... Kuna baadhi ya story unapaswa kupotezea tu, uongo huwa mwingi kuliko ukweli
Cute Wife said: Shouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania Click to expand... Kuna baadhi ya story unapaswa kupotezea tu, uongo huwa mwingi kuliko ukweli