Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nimeacha si unaona nawapaga ushindi wa mezani watu wa jf [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu alikua ananitukana km CW na videmu vyake vinampa support lkn nikawapotezea wote.

Ss hiv wamechoka sura zimewashuka, bwana wao ananikabidhi simu nasoma msg zao za piem [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu nawachoraaaaa
Mmmh usifanye hivoooo
 
Back
Top Bottom