Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,654
- 16,020
Ewaaa na ilivyopuyanga leo wacha ipumzikee𤣠na miguu pia ipumzike
Ewaaa na ilivyopuyanga leo wacha ipumzikee𤣠na miguu pia ipumzike
Asante sana šš«£š«£ usiku mwema pia mpenzi
Pouwa bt Shemej hapo umeniacha mtukura!!!Ni shemej kiaje kiajeKaribu sana shemeji habari za hapo hedaru
Meme WW ni mdogo ake/Mkubwa ake nan vile ili kesho nkuletee maua yako mapemaKaribu sana shemeji habari za hapo hedaru š¤š¤
Same 2uMchana mwema.
Kitimoto yake ugali boss
Kitimoto yake ugali boss
Au ndizi mzuzu za kuchoma au kukaangwaaa šKesho nitatoa tekenya na ugali bosslady..
Au ndizi mzuzu za kuchoma au kukaangwaaa [emoji39]
Leo tunalewa wapiSafi sana
Safi sana
Unafanya nae nini wewe sasa š¤£š¤£ joka la pichaNipo nae hapa