Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
AhahahahKaribu sana shemeji habari za hapo hedaru 🤭🤭
AhahahahKaribu sana shemeji habari za hapo hedaru 🤭🤭
Karibu sana shemeji habari za hapo hedaru
Nipo natangatanga kama mfugo hapa na sijafa 😆😆😆😆Embu semeni ukweli wanawake wa humu
View attachment 2700044
Ahahahah ungeniambia mapema nikuambie take care bhnaNipo natangatanga kama mfugo hapa na sijafa 😆😆😆😆
Kama umepewa mbili nigawie moja maisha kusaidianaAhahahah ungeniambia mapema nikuambie take care bhna
😂😂 seriouslyKama umepewa mbili nigawie moja maisha kusaidiana
Mademu wa jf tunajua kupondwa....ndyo maana sitaki kuonana na watu wa jf mie...Mjep baada ya kuopoa dem wa jf akaomba meeting dem akawa wa kwaza kuja Mjep akaenda chooni akirudi ndio ana muona dem kasimama duh anashangaa ndiye huyu View attachment 2700054
Ohoo😂Mjep baada ya kuopoa dem wa jf akaomba meeting dem akawa wa kwaza kuja Mjep akaenda chooni akirudi ndio ana muona dem kasimama duh anashangaa ndiye huyu View attachment 2700054
Hahah wanasema avatar na majina tofaut na uhalisia kama Mimi nilivo na jina zuri ukinikuta njiani huko nipo km huyo dada 😂😂Mademu wa jf tunajua kupondwa....ndyo maana sitaki kuonana na watu wa jf mie...
Ahahahah weew uko very smart bhnaMademu wa jf tunajua kupondwa....ndyo maana sitaki kuonana na watu wa jf mie...
Kama upo hivyo basi we mremboHahah wanasema avatar na majina tofaut na uhalisia kama Mimi nilivo na jina zuri ukinikuta njiani huko nipo km huyo dada 😂😂
Ndio maana tangu Jan humu kapotea kapigwa na. Kitu kizitoOhoo😂
UuAhahahah weew uko very smart bhna
🤣🤣🤣 tena miguu imekupauka mjusi anapandHahah wanasema avatar na majina tofaut na uhalisia kama Mimi nilivo na jina zuri ukinikuta njiani huko nipo km huyo dada 😂😂
Mimi sio mwanaume wa jf tukikutana tuna piga kimya kimyaSubutu
Uu
Ahahahah waraka wa yohanaKama upo hivyo basi we mrembo
Mimi nipo kama mkulima tu hapa...nisije kutana na mtu akarudi na uzi mrefu hapa jf 😆
Umejuaje ni hatar tumechoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena miguu imekupauka mjusi anapand
Yaani na chai za kutoshaAhahahah waraka wa yohana
🤣🤣🤣 naomba meeting keshoUmejuaje ni hatar tumechoka 🤣🤣🤣