MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,449
- 69,291
Wafatilie, wana Physique fulani hivi ya tofauti....Hmmm...kwani wakoje Wanyakyusa wa Kyela....???🙄
Weupe wao huwa Moderate lakini unaonekana sana (Glow)...
Wafatilie, wana Physique fulani hivi ya tofauti....Hmmm...kwani wakoje Wanyakyusa wa Kyela....???🙄
Ohhhhh...owwkey!🙂 Ila sasa mi siwajui kabisa so...mwaga ma-details na picha kama ipo itapendeza!!!!Wafatilie, wana Physique fulani hivi ya tofauti....
Weupe wao huwa Moderate lakini unaonekana sana (Glow)...
Shemej hata ukitoa hiro ua kwa uso meme nitasahau kama nilikuona
Wanyakyusa wa Kyela wamejaa wengi sana mjini Dr Lizzy, wewe wafuatilie utaona tu....Ohhhhh...owwkey!🙂 Ila sasa mi siwajui kabisa so...mwaga ma-details na picha kama ipo itapendeza!!!!
😆😆😆😆😆Wanyakyusa wa Kyela wamejaa wengi sana mjini Dr Lizzy, wewe wafuatilie utaona tu....
Anza na mimi😆😆😆😆😆
Haya ntaanza kuuliza kila mtu nnaekutana nae from now on kama ni Mnyakyusa wa Kyela!!
Amkeni tuselfike
Pole sanaUsingizi hamna😒
Nasubiri yako😅Pole sana
Basi selfika
Selfika bana achana na yangu, zangu mbona ziko kibao tu humu😁Nasubiri yako😅
Sijaziona for real.Selfika bana achana na yangu, zangu mbona ziko kibao tu humu😁
Selfika basi chap sasa hivi wamelalaSijaziona for real.
Mimi wa Tukuyu 🤣
Nasemaje low cut tamu sana haijawahi kukukataa 😍😍😍Mzee wa kupambania njoo unipeleke saluni nikanyoe tena hivi.....View attachment 2700975
Shemela izo lips izo lips kidogo niangushe abiria huku.Mzee wa kupambania njoo unipeleke saluni nikanyoe tena hivi.....View attachment 2700975