Au kinega cocastic
[emoji1787][emoji1787]Unamuanza mdogo angu akikuwashia moto mimi siingilii ooh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unakoelekea utanitibua ss hivi nakujua akili zako
[emoji1787][emoji1787]
Oi jrJr leo ujaonekna humu
Ungesema hivyo tokea mapema!!!Nitakuwekea sura ya huzuni hadi utanionea huruma mwenyeweπ€£π€£
Tena hapo nimebeba matunda au π©π« π
Eeh siwezi kuja mikono mitupu mimi, zawadi muhimuπUngesema hivyo tokea mapema!!!
Mgeni anaekuja na zawadi siku zote anapokelewa!!!π€π€
Huo msumari [emoji2960]
Ming'pko hii mitamu nilikuwa sijalada mrefu kumbe dar ipo View attachment 2698887
Mrembo mambo? umepotea sana.π€£π€£ leo hatujaongea
Ni jana imeanza kuwa nzito
Sahivi ni mwendo wa Halima Mdee
Mnyama kiwango kimeshuka sana.View attachment 2699554
Mwaka huu lazima tufikie hatua ya Fainali ya Klabu Bingwa.
π¦π¦π¦π¦π¦
Nguvu Moja πͺ
Kwa usajili tulioufanya, timu pinzani zijiandae kutoleta timu uwanjaniMnyama kiwango kimeshuka sana.
Ngoja tuone πKwa usajili tulioufanya, timu pinzani zijiandae kutoleta timu uwanjani
Na mtani sioni kama atachukua Kombe Mwaka huu labda wafanye mpango watupore tu kwa nguvu π€ͺ
Nanyi Watani endeleeni kuboresha kikosi chenu, mwaka huu mkitolewa Champions league hakuna kucheza Shirikisho kama Mwaka Jana.Ngoja tuone π