[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] itabidi nikutafutie training kwanza uive
Nani tena huyo? π
Huo msumari π€
π€£π€£π€£π€£aloooMing'pko hii mitamu nilikuwa sijalada mrefu kumbe dar ipo View attachment 2698887
We kunywa tu dear deni haliui mtuTuna madeni
Na matatizo ya kodi
Najua nina Vipengele
Ila pesa ya shisha na wine 2 hatukosi π€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Huu wimbo utanichizisha π€£
Na hayafungi mtuWe kunywa tu dear deni haliui mtu
ni lyrics hizi?? mbona kama tunaongelea nyimbo tofautiTuna madeni
Na matatizo ya kodi
Najua nina Vipengele
Ila pesa ya shisha na wine 2 hatukosi
Si kina Rayvann naa Juma?ni lyrics hizi?? mbona kama tunaongelea nyimbo tofauti
ππππ
Nilisahau kama we wakishua π€£π€£π€£ππππ
What i got tenaππ
Umekaa zako huna hili wala lile unapewa silesi huzijuiπ
maria rosa, usije ntosaSi kina Rayvann naa Juma?
Em ongeza lyrics yako kwanza π
Ukute dish lishayumba hapa