Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Huna?Hapo kwenye hela sasa
Huna?Hapo kwenye hela sasa
Pole sana mnywani!! Bora kama unaendelea vizuri Mungu ni mwema!Boda ilinidondosha mguuni nikawa nimeumia nikapigwa nyuzi 5 kabisa. Imekua mda kidogo Ni siku 7 Sasa.
Ipo kias chakeHuna?
Hongera chief
mshamba nayapokea maua yangu😁handsom km mshamba
Toka aliwe kichwaaa amekua adimu Sana Huyu mzee mwenzangu wa hall 5.Msalimie sana mzee wa Hall 5. Mwambie Ini kaja kivingine, mjihadhari kabla ya hatari 😊😊😊
Wee mbea weweHongera chief
Mbona unamficha sasa?
Mgeuze tumuone au ID ni maarufu?
Umtomgozzunipage niongee nae😁
Ahahhah wew mshezi sana swahii chai ntainywa kwa tabu labda Lenie anishawishi😆
Futa comments yako please picha ipo badohii chai ntainywa kwa tabu labda Lenie anishawishi😆
sema miujiza ipo😂Ahahhah wew mshezi sana swa
Tulale mnywani leo nmechooooka kama daladala la gomzMissy Gf Kapachino Bantu Lady ndio mmenidindia eeh???
Haya mrare unono wapendwaaa kesho nayo ni siku 😴💤😴😴💤✌️!!
Kwahiyo unataka kusemaje?sema miujiza ipo😂
Enjoy ur night litoto lizuriMissy Gf Kapachino Bantu Lady ndio mmenidindia eeh???
Haya mrare unono wapendwaaa kesho nayo ni siku 😴💤😴😴💤✌️!!
Sio daldala la kawe mbagalaTulale mnywani leo nmechooooka kama daladala la gomz
ngoja nitulie nisianzishe ugomvi😅Kwahiyo unataka kusemaje?
Na leo nitakupiga haswangoja nitulie nisianzishe ugomvi😅