Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo uaniche na nature yangu.

Kama hupendezwi na uchangiaji wangu unaweza kutemana na mimi.

Kuwa makini dogo sio una attack watu unazingua hili sijui lile kati yangu na yako nani mzinguaji. 🤣🤣🤣🤣

Nakuonea huruma sana unajua uchoko wako lakini

Haya kitulize sasa nisije nikakuweka kwenye list yangu ya mananiliiu. Hutopenda
Duh .........
 
20230723_183118.jpg
 
Jishikilie nakukumbusha tu, Mwanaume sio madomo wala Mwanaume sio kukaa kibarazani na wanawake kupiga umbea ulipo simu mpaka chupi na cha kunyolea vuzi umenunuliwa na walezi,

Jipange kuwa bora mwanaume sio sex tu na kutomgozana, jua baadae unataka kuwa nani hasa kama unataka kuwa malaya sawa ila otherwise change mtizamo na maisha yako dogo

Hao mademu unaopiga nao story wanapata mabwana sasa na wewe kama utapata bwana haya
Damn one among the expensive advice given for free.
 
Sawa bro si comment vijembe tena nimeacha i swear 💯💯👍👍💪💪.

Umeniambia ukweli mchungu sana na nimeamua kukuheshimu maana umetumia lugha nyepesi bila matusi

I was carried away though. Hutoona vijembe vyangu popote pale tena.

Ubarikiwe mkuu. 👍👍
Nime penda hii humble response 💪
 
Back
Top Bottom