Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Niko angani😂😂, mshamba_hachekwi njoo ukaone ka last bornwaa😂
Niko angani😂😂, mshamba_hachekwi njoo ukaone ka last bornwaa😂
Ahahaha last born kachoka hoi njooni mumbebe na gar ya shemeji yake 🤣🤣Niko angani😂😂, mshamba_hachekwi njoo ukaone ka last bornwaa😂
anakula maisha huyu kila siku anasafiriNiko angani😂😂, mshamba_hachekwi njoo ukaone ka last bornwaa😂
Tujitafute na sisi🙏💪anakula maisha huyu kila siku anasafiri
Mwachiluwi mpe connection huyu ana hamu ya kula bataTujitafute na sisi🙏💪
Namaanisha tupambanie Malengo yetu💪Mwachiluwi mpe connection huyu ana hamu ya kula bata
Ahahaha mimi sili bata kidogo nipo kazini hapa narudi ndio maana. Sinenepi now nimechoka kusafir ujui tuMwachiluwi mpe connection huyu ana hamu ya kula bata
Ilikuwepo morn kabisaBro Mjep Leo hakuna challenge 😂
Kabisa hakuna kulala wala kupumzikaNamaanisha tupambanie Malengo yetu💪
Dah ko Mwachiluwi Ume lipiwa ehh🤔😂😂😂Mshahara umeisha chief
Nimemnunulia Mwachiluwi simu😁
Af naipokea leo jioni 🤗🤗Mshahara umeisha chief
Nimemnunulia Mwachiluwi simu😁
Sijalipiwa nimepewa zawadi ya kijana mwaminifu sana siwezi kuikataaDah ko Mwachiluwi Ume lipiwa ehh🤔😂😂😂
Anasubiri note 10 kutoka DubaiDah ko Mwachiluwi Ume lipiwa ehh🤔😂😂😂
Bro Mjep Leo hakuna challenge 😂
Alikuwa amekumbatiwaMzigo ulipanda asubuhi wa kutosha ulikua wapi mkuu?
Ulizichukua zote peke yako mkuuAlikuwa amekumbatiwa
Hapana moja tuUlizichukua zote peke yako mkuu
Nilikuwa mihangaikoni mkuu, kweli majobless tuna kosa mengi😂😂Mzigo ulipanda asubuhi wa kutosha ulikua wapi mkuu?