Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi udugu story za kuambiwa tuu mtu anashaukwa anakutungia maneno unabaki kushangaa tu!

Kweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile

Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…