π€£π€£π€£π€£π€£π€£ we ni noma ila ukiamua utabadilika ni suala la muda tuUnajua kuna siku nilikonukisha mpk wanaume wakawa wananishangaa hawaamini kabisaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo wivu ndio unaniponza
Humu tulio single ni Mimi intelli na nyuki was mashineni mshamba_hachekwi [emoji1787][emoji23]
Wa kuwatukana yukwapi sasa lol mie hata kugombana siwezi udugu!!Nimeona udugu hii id umebadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungeiacha ungekua unawatukana kwa raha zako wanaokufatilia kikubwa bando na muda uwepo tyuuuu
Hahahahahah alijua mke mwenza.Mimi humu napita humu muda wowote ninaotaka hakuna aliyeniita kujiunga jf wala anayenilipia bando!!!
Kuna demu alinichukia humu kwasababu za kingese kweli afu anakuja piem na vi id vyake fake kuniletea habari za kibaka mmoja. Nikamwambia tunataniana wala hatudate wewe relax jf hakuna bwana usijichoshe
Nilicheka sanaaa aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf kumbe kuna watu wana mabwana zao kweli?!!
Eti nyuki wa mashineniHumu tulio single ni Mimi intelli na nyuki was mashineni mshamba_hachekwi [emoji1787][emoji23]
Bureeeee,mchawi bando.Kweli teeeena sihifadhi kitu moyoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan kukutukana shingapi?!!
Haelewekiiππ€£π€£π€£Eti nyuki wa mashineni
Humu hizi flirting kuna pipo zinachukulia siriaz dear!! usishangae Siku ya siku kusikia la kukuhusu kuhusu hizihizi flirting[emoji1783][emoji1783]
Yani watu hawapendiii na hawafurahii kuona marafiki wakifurahi na kucheka humu!ii
Nimebadili username tu uduguuu sio id afu kumbe watu wanapenda majinaa ya watuuu wanapenda kusafiria majinaaaa!! Nivobadili tu ile ikaibiwaπ€ π!!Nimeona udugu hii id umebadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungeiacha ungekua unawatukana kwa raha zako wanaokufatilia kikubwa bando na muda uwepo tyuuuu
Dah we ni mento, so hauelewekiπ€£πNa mimi mbona umeniacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora wee una kichaa chako udugu Mie mpoleee kuna myda wananipanda hadi kichwani lol!Mimi ndio waniachee kabisa sina habaree na mtu, niko kivyangu afu hii id ni ya muda ina 8yrs tena nilikifungua sababu ya kutaka kupooza kero za jukwaa la siasa
Ila nina kauchizi kangu ako nikikaamsha inakua mtafutano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahah alijua mke mwenza.
Nimebadili username tu uduguuu sio id afu kumbe watu wanapenda majinaa ya watuuu wanapenda kusafiria majinaaaa!! Nivobadili tu ile ikaibiwa[emoji1783][emoji16]!!
Bora wee una kichaa chako udugu Mie mpoleee kuna myda wananipanda hadi kichwani lol!
Khakhakhaaaa.. Nacheka kama mazuri uduguuu!!Eeh!! Ndiwooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jf watu wananyanduana kweli ujue!!!!!!
Yule kigagula alikua anahaha anakuja kwangu anatoa ushauri nisimdate huyo mkaka mwingi sana kila dem wake humu, akitoka anamfata huyo kaka nae anampa ushauri khs mimi na kifekero chake!!
Nikamwambia wewe bana ebu acha mshawasha mie sio mke mwenzio ila ukiendelea nitafanya kweli, coz akili zangu mbili mwenzio nitamuiba ulie
Tulia hapohapo kaka yangu Mjep
Wa kuwatukana yukwapi sasa lol mie hata kugombana siwezi udugu!!
Nyotraa ya bundiii uduguuu!! π€ !Wee kweliii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyota inawaka udugu, humu kila siku unapewa maua yako
Khakhakhaaaa.. Nacheka kama mazuri uduguuu!!
Humu sijui ndio gia hio mtu akimdondokea mwanaume lazima akandie mwanamke mwenzieee hawawezagi kupambana naharee zao kabisa kutokujiamini tu!!
Watu wanateseka sio kidogo uduguuu!! Yani maisha ya mtu asiewahusu hata robo ila wanateseka vibaya sana...Kila leo wanawaza la kukuzushia humu ili tu uonekane hovyo !! Wanapata tabu sana kiukweli!Wanatia huruma sana kwani?!!