Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli?!! Mimi siamini bado.
Unatumia vigezo gani kuzijua pisi mbovu? Cha ukorofi umenishinda
 
Maneno ya mkosaji,wanatapa.

Kwa kweli wanajua kutuponda humu!!
Kuna mmoja alisema eti tulioshindikana kwenye mahusiano ndio tumejaa na sura zetu mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu hao hao wanazama piem kuimbisha mapambio
 
Kwa kweli wanajua kutuponda humu!!
Kuna mmoja alisema eti tulioshindikana kwenye mahusiano ndio tumejaa na sura zetu mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu hao wanazama piem kuimbisha mapambio
Hawaishiwi kuwasema wanawake,hasa tuvijana tudogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…