Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani National Anthem waache wafunge kuepuka usumbufu.

Sie wengine hatusumbuliwi, PM moja miezi 6....mbwembwe zakuwekaπŸ”’ tutapata wapi???πŸ™„
Hapanaaaa hapanaaaa ( in mkojani voice )... Hawajiamini... Wamefunga PM Ila kutwa wanatusumbua PM... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Leo pombe nayo kunywaaa naweza kosea adabu watu humu Acha ni logout
 
Mhmm!! Hapo chacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha tu humu hakuna wa kumuita mwenzie shangazi wala nyookoo ya aunt ni vibibi vilivyokosa matunzo tumejaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijaona mtoto niwe mkweli mimi nasali dhambi nyingine za kujitakia SITAKI
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Aseee nacheka kama fala hapa.

Ntawaamsha majirani umesema!!!!!

Kuna kibibi kilisema eti kuna naniliii ana umri wa kumzaa mi nilicheka vibaya sana kwani age difference ya 7 years ni kubwa kiasi hiko 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Unanivunja mbavu shem aseee
 
Hapanaaaa hapanaaaa ( in mkojani voice )... Hawajiamini... Wamefunga PM Ila kutwa wanatusumbua PM... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Leo pombe nayo kunywaaa naweza kosea adabu watu humu Acha ni logout
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sasa sindo wamekuchagueni nyie wanaowaelewa!!!!πŸ€“

Usikimbie bana....utakuja kuanguka uumie!😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hebu niwacheeeee kwanza

Unasemaje?! Labda kwa Faiza hao wengine wanasingiziwa afu nipumzike niendelee na ratiba zingine. Nisije kumkwaa mtu bure humu na ugomvi siwezi
 
Unaogopa kumkwaa nani??

Ukimkwa mi nipo hapa yente yente 😊
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sasa sindo wamekuchagueni nyie wanaowaelewa!!!!πŸ€“

Usikimbie bana....utakuja kuanguka uumie!😁
Wanaofunga pm wapo hivyo πŸ₯΄πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hawajiamini

Wanagonganisha ma Subaru

Hawawezi kukataa wakiombwaaa namna ya kujilinda ni hiyo

Mengine ongezeaaa... Yapo masababu mengii.. atae jihisi ni mchawi tuuu kama wachawi wengine.. wadada wali alafu smart PM zao zipo wazo.. Ila ✌️✌️✌️✌️✌️✌️... Ouyoooooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao watakua wanajisikia kukufurahisha kila siku!! Komaa nao mwenyewe![emoji16]

Na wananifurahisha kweli mpk nishawazoea, muda mwingine naingia JF ili nipate burudani zao tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…