๐ ๐ ๐ Kuvunja sheria za nchi direct msalaaa... Najua ataingia kwenye 18 zangu atatoa na riba. Sema kalivyo kazuri na kisauti chake.. unaweza poteza malengo dk moja strong dk moja unapoteza network ...
Yani vocha inawekwa hata dakika haimalizi unaambiwa ishajazwa na namba inayoishia 3456..
Hili peke yake linadhihirisha kwamba vijana mnahitaji kuwezeshwa zaidi ๐คฃ ๐คฃ