Nita mdakaa , baada ya pale alienda kusoma.. namfahamu hadi huwa namfuatilia kimyaa kimyaaa bila yeye kujua... Nitalala nae mbelee 😁😁😁..maana sina utajiri WA kuchoma hela yote hiyo
Niliumia sana, hasa baada ya kujua alinichezea mchezo.. Baadae akaja kuni please sana .. Ila akakwepa kabisa kunionaaa hadi siku anaondokaaa...😅😅😅.. kalikuwa kanapenda kuniita mentor, kumbe alikuwa ananiuaaa